Wimbo huu ni True Story ambayo imenikuta katika maisha yangu , hivyo Moyo wangu na Hisia zangu automatically nikajikuta nimeandika wimbo huu .Karibu.