Trending Now

NEW VOCALIST IN TZ TANZANIA : KENNY MAVYOMBO

                                                                           Click to Download

   A New Vocalist in My Booth...      Zao jipya kutoka Bokazi E.N.T, Hii ni kazi ya kwanza kuachiwa kwa Msanii Huyu Mahiri mwenye kujituma kuonesha Uwezo wa Sauti yake ni Ajabu na ni kwa Mara ya Kwanza Msanii UnderGround Kufanya Hit Song kama msanii Mzoefu,  Akiwa Anawakilisha Kundi zima la Doriva.