Anaitwa Shedrack Kijana mdogo mwenye Uwezo Mkubwa wa kufungua Sauti katika uimbaji wa Gospel Music... Hii Kazi Yake ya Kwanza msikilize pia waweza kumsupport kwa kusambaza link ya kazi yake Download