Trending Now



Jaco a.k.a Pop J ni Msanii kutoka Bokazi EnterTainment alifariki 2017 July 28, ameacha nyimbo nyingi sana  studio na huu ni moja ya wimbo ambapo tulikata moja ya chorus yake na kutengeneza muziki wasanii wengi kuingiza verse. Hii ni moja ya Kumuenzi na kuendeleza kazi alizotuachia. R.I.P JACO.