Trending Now

Kwa Mara ya Kwanza Bokazi E.N.T inakuletea BOKAZI ALBUM VOL 01

Ni Album iliyobeba Nyimbo 30 , yenye mchanganyiko wa Ladha Tofauti tofauti..Hip Hop ,R & B na Bongo Fleva n.k.... ni Album ya Kwanza Kwa Bokazi Studio Kurelease ...Enjoy.