Ngoma Yamoto kabisa kutoka kwa Ramsoh Latinho
Mnyaturu kutoka Mkoan Singida Tanzania, lakini Harakati zake za Muziki kazielekeza sana Nchini Kenya Ambako ndio huwa anapata Fursa ya kufanya Video na Promo katika Media za Kenya kwa Uhuru zaidi kwa Mdai yake yeye... Sikiliza Wimbo kisha Msaada kushare kwa marafiki.