Trending Now

UP AGAIN.......SIR ELLY MANDELLA

                                                                               Download Here
Ni Mwendelezo wa Kuipambania  Jamii ili kuiondoa Kizani kupitia Muziki, Tusichoke Kusema Ukweli Maana Tusingesema Huenda hali ingekuwa Mbaya kuliko ilivyo sasa .... Ni Wimbo Mpya kutoka kwa Sir Elly Mandela , Mapokezi yenu ndio mafanikisho ya Kukikomboa Kizazi hiki.   ,,Kwa Wenye Websites na Blogs Naomba msaada wa kusambaza Link pia tunaomba Support kwa Media Presenters, Djz Media na Kitaa. Narelease wimbo ukiwa na Full Package Kutoka Studio yako Bokazi EnterTainment (BoyZ of Kazi)  ....