Trending Now

Hakuna Kilichoharibika - Lunduno The Inc

                                                                       Download Here
 Baada ya Muda Mrefu bila kutoa Wimbo, Huu ndio ujio mpya wa Lunduno na Singo mpya `Hakuna kilichoharibika'. , Lunduno inayoundwa na Vichwa Vitatu Shashow a.k.a Bammy, Hood C na Algebra wakimshirikisha artist kutoka kundi la Doriva `Maplace a.k.a Dwenga' akichombeza kuimba kwa mbali katika chorus.  BOKAZI ENTERTAINMENT ndio Studio Label ambayo huwa wakifanya Recording Siku zote Chini ya Producer Man DvD.