Trending Now

BOKAZI MIDUNDO ALBUM VOL 01.. Beat No 02.

 
Ni Album ambayo itakuwa na Beats (Instrumental) 15 .Zitakuwa zinatoka kwa Awamu, Free kudownload Lakini ukihitaji Kufanya Kazi na Hii Beat unawasiliana na Producer Man DvD 0713 040615 Bei ni punguzo Maalum. Na sasa kaa Tayari Kwa Beat No 03. BOYZ OF KAZI STUDIO.